Natamani kuwa fisadi: Nifanyeje Kuishinda hii hali?

Natamani kuwa fisadi: Nifanyeje Kuishinda hii hali?

Nakumbuka mwaka flani nikiwa kazini huku kanda ya zowa niliwapa manunuzi list ya vifaa vya kununua, wakaenda nayo kwa suppliers wakaja na gharama kama 13mil hivi, nikaichukua ile invoice nikaipitia A to Z niliyo yakuta humo duuh!

Ikabidi nitafute siku nichukue ile list yangu ikiwa empty niende mwenyewe kwa wale suppliers ambao manunuzi waliniletea invoices zao nikawapa wajaze (nilijifanya kama ni mtu binafsi na nna nunua vitu kwa ajili ya kazi yangu nyumbani).

Bei niliyo pewa ilikua around 7mil au nane kasoro, nikachukua ile invoice yangu na ile yao nikawapelekea nikaambia watumie invoice yangu maana ina gharama ndogo!

Tokea hiyo siku walikua hawataki hata kuniona!

Kwa kifupi kwenye hii nchi hakuna kitengo serikalini ambacho ni corrupt kama manunuzi (wakifwatiwa na polisi).
Mkuu, hii ni njia gani ya manunuzi mliyotumia?
 
Iba tu mkuu ila siku ukikamatwa na kupelekwa jela na usiku ukishikishwa ukuta sisi tutakuwa home tunanyandua wake zetu.
Kupanga ni kuchagua.
 
Back
Top Bottom