Hapo ndipo penye tatizo. Siasa ni somo kama masomo mengine. Ili mtu aijue vizuri siasa na kuiapply katika jamii hana budi kusoma masomo ya siasa. Vinginevyo vurugu lazima ziwepo, kwa sababu watakuwepo wanaojiona wanajua siasa kumbe hawajui. Jaribu kuwaza kila mtu aseme ni daktari, hali itakuwaje?Mwanasiasa ni nani na nani siye mwana siasa?
Wanasiasa wanaabudu Mungu, na waabudu Mungu ndio wapiga kura kuwa weka wanasiasa kuongoza. Na wengine kutoka hekaluni huenda kuwa viongozi wa kisiasa kama watumishi.
Sasa unaongea Nini?
Ukisoma Biblia na kuongozwa na Roho mtakatifu,Hapo ndipo penye tatizo. Siasa ni somo kama masomo mengine. Ili mtu aijue vizuri siasa na kuiapply katika jamii hana budi kusoma masomo ya siasa. Vinginevyo vurugu lazima ziwepo, kwa sababu watakuwepo wanaojiona wanajua siasa kumbe hawajui. Jaribu kuwaza kila mtu aseme ni daktari, hali itakuwaje?
Vyuoni kuna somo linaitwa Political science. Somo hilo ni muhimu kwa mtu anayetaka kufanya vizuri kisiasa. Otherwise kujiingiza siasani bila kuijua hiyo sayansi ya siasa ni sawa na kuendesha gari bila kujifunza kanuni za kuendesha gari na sheria za barabarani.Natamani kuwa Mwanasiasa lakini moyo wangu umegoma kabisa!
Nikitazama runinga, nikisoma magazeti, au kushuhudia mijadala ya kisiasa, kuna sauti inaniambia: "Laiti na mimi ningekuwa mwanasiasa!" Kwa mbali, siasa inaonekana ni nafasi ya heshima, ushawishi na fursa. Ni njia ya kuwahudumia watu, kupigania wanyonge, na kushiriki katika ujenzi wa taifa. Wanasiasa wanapata nafasi ya kusikika, kuheshimiwa, na mara nyingine kunufaika kiuchumi na kijamii. Wanakutana na viongozi wa mataifa mengine, wana sauti bungeni, na majina yao huandikwa katika vitabu vya historia.
Lakini kadiri unavyokaribia uwanja wa siasa, ndivyo taswira inavyoanza kuonekana tofauti. Siasa ni shamba lenye miiba mingi: fitina, chuki, kashfa zisizoisha, usaliti kutoka kwa waliokaribiana nawe, na mashinikizo ya kila aina. Kuna wanaopoteza utu wao wakijaribu “kusurvive” ndani ya mfumo, na wengine hulazimika kuchafua mikono yao kwa gharama ya uadilifu. Wengine huingia katika ndoto za kuleta mabadiliko, lakini baadaye wanaonekana kama sehemu ya tatizo walilopanga kulimaliza. Kuna wanaozushiwa mambo ya uongo na kushambuliwa mitandaoni, na wengine huachwa na familia zao kwa sababu ya misimamo yao ya kisiasa. Na wengine wanaipigania keki miaka nenda rudi, lakini wanajikuta wamerudi mavumbini kabla ya kuionja keki. Mwee, tabu yote ya nini hii.
Nikitafakari hayo moyo wangu unaniambia: "Kaa pembeni mwanangu." Kweli heri nikae pembeni, niwaombee tu viongozi wetu Mungu awape hekima zaidi. Heri niombee amani na maridhiano badala ya kujiingiza mahali ambapo sihasa.
Nashangaa sasa hivi kila mtu ni mwanasiasa hata kama hapati mshahara wa siasa zake. Waliokimbia masomo ya siasa, wamejiingiza kwenye siasa. Mtu akianzisha chaneli tu ya Youtube, anaongea kama mwanasiasa aliyebobea. Kwanini? Moyo wangu mimi umegoma. Unaniambia sio lazima wote tuwe ndani ya ulingo wa siasa ili kulisaidia taifa. Tunaweza kuijenga nchi kupitia taaluma zetu, huduma zetu, upendo wetu kwa jirani, na maombi yetu kwa taifa.
Narudia tena kusema: moyo wangu umegoma kuwa mwanasiasa, lakini haujagoma kuiombea nchi na viongozi wake kama maandiko yanenavyo:
1 Timotheo 2:1-4
"Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu. Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu..."
Kama unataka kujiingiza kwenye uchawi basi jiingize kwenye siasa kwani kama ulikuwa hauna tabia ya ushirikina ukijiingiza kwenye siasa tu lazima utajiingiza kwenye ushirikina upende usipende.Natamani kuwa Mwanasiasa lakini moyo wangu umegoma kabisa!
Nikitazama runinga, nikisoma magazeti, au kushuhudia mijadala ya kisiasa, kuna sauti inaniambia: "Laiti na mimi ningekuwa mwanasiasa!" Kwa mbali, siasa inaonekana ni nafasi ya heshima, ushawishi na fursa. Ni njia ya kuwahudumia watu, kupigania wanyonge, na kushiriki katika ujenzi wa taifa. Wanasiasa wanapata nafasi ya kusikika, kuheshimiwa, na mara nyingine kunufaika kiuchumi na kijamii. Wanakutana na viongozi wa mataifa mengine, wana sauti bungeni, na majina yao huandikwa katika vitabu vya historia.
Lakini kadiri unavyokaribia uwanja wa siasa, ndivyo taswira inavyoanza kuonekana tofauti. Siasa ni shamba lenye miiba mingi: fitina, chuki, kashfa zisizoisha, usaliti kutoka kwa waliokaribiana nawe, na mashinikizo ya kila aina. Kuna wanaopoteza utu wao wakijaribu “kusurvive” ndani ya mfumo, na wengine hulazimika kuchafua mikono yao kwa gharama ya uadilifu. Wengine huingia katika ndoto za kuleta mabadiliko, lakini baadaye wanaonekana kama sehemu ya tatizo walilopanga kulimaliza. Kuna wanaozushiwa mambo ya uongo na kushambuliwa mitandaoni, na wengine huachwa na familia zao kwa sababu ya misimamo yao ya kisiasa. Na wengine wanaipigania keki miaka nenda rudi, lakini wanajikuta wamerudi mavumbini kabla ya kuionja keki. Mwee, tabu yote ya nini hii.
Nikitafakari hayo moyo wangu unaniambia: "Kaa pembeni mwanangu." Kweli heri nikae pembeni, niwaombee tu viongozi wetu Mungu awape hekima zaidi. Heri niombee amani na maridhiano badala ya kujiingiza mahali ambapo sihasa.
Nashangaa sasa hivi kila mtu ni mwanasiasa hata kama hapati mshahara wa siasa zake. Waliokimbia masomo ya siasa, wamejiingiza kwenye siasa. Mtu akianzisha chaneli tu ya Youtube, anaongea kama mwanasiasa aliyebobea. Kwanini? Moyo wangu mimi umegoma. Unaniambia sio lazima wote tuwe ndani ya ulingo wa siasa ili kulisaidia taifa. Tunaweza kuijenga nchi kupitia taaluma zetu, huduma zetu, upendo wetu kwa jirani, na maombi yetu kwa taifa.
Narudia tena kusema: moyo wangu umegoma kuwa mwanasiasa, lakini haujagoma kuiombea nchi na viongozi wake kama maandiko yanenavyo:
1 Timotheo 2:1-4
"Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu. Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu..."
Una ushahidi gani unaothibitisha kwamba wanasiasa wote wamejiingiza kwenye ushirikina?Kama unataka kujiingiza kwenye uchawi basi jiingize kwenye siasa kwani kama ulikuwa hauna tabia ya ushirikina ukijiingiza kwenye siasa tu lazima utajiingiza kwenye ushirikina upende usipende.
Hakuna mwanasiasa asiye mchawi kwani usiporoga wewe wenzako watakumaliza. Bisha hili kisha jiingize kwenye siasa uone.Una ushahidi gani unaothibitisha kwamba wanasiasa wote wamejiingiza kwenye ushirikina?
... Pamoja na siasa kusomewa, lakini zinatuhusu wote, kama kupika chakula chetu cha kila siku!Natamani kuwa Mwanasiasa lakini moyo wangu umegoma kabisa!
Nikitazama runinga, nikisoma magazeti, au kushuhudia mijadala ya kisiasa, kuna sauti inaniambia: "Laiti na mimi ningekuwa mwanasiasa!" Kwa mbali, siasa inaonekana ni nafasi ya heshima, ushawishi na fursa. Ni njia ya kuwahudumia watu, kupigania wanyonge, na kushiriki katika ujenzi wa taifa. Wanasiasa wanapata nafasi ya kusikika, kuheshimiwa, na mara nyingine kunufaika kiuchumi na kijamii. Wanakutana na viongozi wa mataifa mengine, wana sauti bungeni, na majina yao huandikwa katika vitabu vya historia.
Lakini kadiri unavyokaribia uwanja wa siasa, ndivyo taswira inavyoanza kuonekana tofauti. Siasa ni shamba lenye miiba mingi: fitina, chuki, kashfa zisizoisha, usaliti kutoka kwa waliokaribiana nawe, na mashinikizo ya kila aina. Kuna wanaopoteza utu wao wakijaribu “kusurvive” ndani ya mfumo, na wengine hulazimika kuchafua mikono yao kwa gharama ya uadilifu. Wengine huingia katika ndoto za kuleta mabadiliko, lakini baadaye wanaonekana kama sehemu ya tatizo walilopanga kulimaliza. Kuna wanaozushiwa mambo ya uongo na kushambuliwa mitandaoni, na wengine huachwa na familia zao kwa sababu ya misimamo yao ya kisiasa. Na wengine wanaipigania keki miaka nenda rudi, lakini wanajikuta wamerudi mavumbini kabla ya kuionja keki. Mwee, tabu yote ya nini hii.
Nikitafakari hayo moyo wangu unaniambia: "Kaa pembeni mwanangu." Kweli heri nikae pembeni, niwaombee tu viongozi wetu Mungu awape hekima zaidi. Heri niombee amani na maridhiano badala ya kujiingiza mahali ambapo sihasa.
Nashangaa sasa hivi kila mtu ni mwanasiasa hata kama hapati mshahara wa siasa zake. Waliokimbia masomo ya siasa, wamejiingiza kwenye siasa. Mtu akianzisha chaneli tu ya Youtube, anaongea kama mwanasiasa aliyebobea. Kwanini? Moyo wangu mimi umegoma. Unaniambia sio lazima wote tuwe ndani ya ulingo wa siasa ili kulisaidia taifa. Tunaweza kuijenga nchi kupitia taaluma zetu, huduma zetu, upendo wetu kwa jirani, na maombi yetu kwa taifa.
Narudia tena kusema: moyo wangu umegoma kuwa mwanasiasa, lakini haujagoma kuiombea nchi na viongozi wake kama maandiko yanenavyo:
1 Timotheo 2:1-4
"Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu. Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu..."
Duh, ni nani huyo anayekula kiulaini hela ya wajinga?Mtumishi acha kuingiwa na tamaa itakayo kusababishia madhara makubwa. Hapo hapo ulipo panatosha.
Kula hela inayotokana hawa watu wajinga na wanaopenda miujiza feki. Waambie tu unafufua wafu, viwete wanatembea, unaponya magonjwa yote yasiyo na tiba ikiwemo kansa na ukimwi, waambie una vitu vyenye upako (mfano maji, sabuni, udongo, chumvi, mafuta, nk) na hakikisha unawauzia kwa bei kubwa! Na usisahau kuisifia ccm.
Ushahidi wa nini na wakati mambo yote yapo hadharani!Toa ushahidi