Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kwa viwango vyovyote ndugu Don Nalimison ni mtu mwenye akili Sana katika Karne ya Sasa.
Huyu mtu namfananisha na Tesla au Albert Einstein.
Mambo anayofanya ni ya kijinias kiasi ambacho jamiiforums yote inamtambua.
Hebu fikiria ni mwalimu gani wa secondary Tanzania anaweza kuiandikia ICC barua ya kuishtaki mahaka flan hapa nchini ili alipwe mabilioni ya mihela. Hebu angalia jina alilobadili lilivyo Kali na maarufu kwa muda mfupi.
Msilolijua Wana if wengi ni kwamba Don Nalimison Kama Don ndio most loved verified member akikohoa tu jf nzima inatetemeka na kwasababu anaiishi kesho ie ana Time travel basi watu wengi humdhania kichwani kipa katoka.
Binafsi namkubali Sana Sana Don natamani kuwa na akili Kama zake.