Natamani kuwa na akili kama za Don Nalimison.

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kwa viwango vyovyote ndugu Don Nalimison ni mtu mwenye akili Sana katika Karne ya Sasa.
Huyu mtu namfananisha na Tesla au Albert Einstein.
Mambo anayofanya ni ya kijinias kiasi ambacho jamiiforums yote inamtambua.
Hebu fikiria ni mwalimu gani wa secondary Tanzania anaweza kuiandikia ICC barua ya kuishtaki mahaka flan hapa nchini ili alipwe mabilioni ya mihela. Hebu angalia jina alilobadili lilivyo Kali na maarufu kwa muda mfupi.
Msilolijua Wana if wengi ni kwamba Don Nalimison Kama Don ndio most loved verified member akikohoa tu jf nzima inatetemeka na kwasababu anaiishi kesho ie ana Time travel basi watu wengi humdhania kichwani kipa katoka.
Binafsi namkubali Sana Sana Don natamani kuwa na akili Kama zake.
 
Uko sahihi aisee. Akili ya Nalimison ni sawa na kuweka pamoja akili za Einstein, Plank, The Curries, Bohr, Newton, Archimedes, Hawking, Galileo, Fermi, Maxwell na magwiji wengine wa sayansi pamoja. Hatakaa atokee Msukuma mwingine jiniazi kama Nalimison [emoji122][emoji122][emoji122]
tapatalk_1516962335314.jpg
 
View attachment 1694787

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom