KIBESENI
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 360
- 351
Umri unaenda, majukumu ni mengi yakuhudumia familia, sioni mlango wa pesa nyingi zikija kwangu. Nimejitahidi kwa miaka mingi niwe na mapesa mengi hata niwa said ie wasio nazo, nimeambulia patupu. Niwe na pesa si kwa shida na mahitaji yangu tu, natka kusaidia jamii ya wasiojiweza,mayatima na wasio na uwezo katika shida zao. Pia natamni nikizipata hizo pesa nizigawe kwa kujenga makanisa ili watu wamwabudu Mungu, pia nitakuwa mfadhiri mkuu wa kazi ya Mungu na shughuri zote zakidini. Nataka mapesa jamani nifanyeje ni pate mapesa. Ila kuiba au kufanya kazi halamu sitaki, ila natka mapesa. Nisaidieni