Natamani kuwa tajiri wa mapesa; Nifanyaje?

Pesa unazitamani ila kuoga aaaaah.
 
Siku hizi usisubiri upate pesa ndio ujenge makanisa na kufanya hizo kazi za Mungu. Fungua kanisa pesa utazikuta hukohuko manyummbu bado ni wengi, utazipakia hadi kwenye magunia, na utagawa hadi magari kama yule geodavie
 
Ungeanza kuwasaidia hao yatima sasahivi wakati huna hela mingi utakuwa umetoa kwa ukubwa,kuliko ungoje uwe na kibunda kirefu.
 
Mkuu uwombaji wako labda ndio tatizo lako, wewe waomba upate pesa yakuwasaidia yatima na wasio jiweza, kwamba watu wafiwe na wazazi wao ili wewe uwende ukawasaidie....

Watu washindwe kuhudumia familia zao wewe uwende ukawasaidie..

Omba amani ya upendo, hayo mengine yata flow naturally
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…