Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Mbunge wa Jimbo fulani lenye wapiga kura 350,ambayo ndiyo jumla ya wapiga kura wake, wenye vitambulisho vya kupigia kura halali, endapo hawataridhishwa na utendaji wa Mbunge wao basi Watakuwa na nguvu ya petition kwa kutumia vitambulisho vyao vya kura kumngoa Mbunge huyo, endapo wananchi hao kwa zaidi ya asilimia 75% wataamua kujiorodhesha pamoja na kopi za vitambulisho vyao pembeni, na kuviwakilisha kwa Tume na kopi ingine kwa bunge liwalo na mahakama. Basi,
#HILI LITAONDOSHA WABUNGE WAHUNI AMBAO HAWAKUWA NA NIA YA DHATI YA KUWAHUDUMIA WANAJIMBO HUSIKA, ALAMSIKI,
#LICHUKULIWE KUONGEZA UWAJIBIKAJI NDANI YA MAJIMBO YA UCHAGUZI.
#HILI LITAONDOSHA WABUNGE WAHUNI AMBAO HAWAKUWA NA NIA YA DHATI YA KUWAHUDUMIA WANAJIMBO HUSIKA, ALAMSIKI,
#LICHUKULIWE KUONGEZA UWAJIBIKAJI NDANI YA MAJIMBO YA UCHAGUZI.