Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Hili linaniumiza sana Mbunge wangu alipopata ubunge katika miaka yote 5,amefika jimboni mara 3 tu.Ikitumika vibaya wananchi wakafanya maamuzi ya mihemko au wale vijana wa chama kwa umoja wao na matawi yao wakitumia nguvu yao wanaweza mtoa yeyote
Lakini Kuna mahakama ina nafasi ktk mashauri ya kisheria kama hayo
Kwa hiyo ubunge unaendelea kuwa nafasi ya kulitia taifa hasara kila wakati, dhati ya Mbunge ni muhimu sana, "" Utaratibu huu uchukuliwe kwa ngazi ya wabunge pekee" na ukomee hapo hapo!, serekali kulipa posho nyingi kwa mtu asiye na msaada wowote sasa hili lina maana gani?Hawezekani labda mwaka 2060
Hatakiwi kutamka, ni KATIBA ndio inayotakiwa kutamka. Kwa hiyo nyie mkisikia katiba mpya mnawaza CHADEMA tuMbunge wa Jimbo fulani lenye wapiga kura 350,ambayo ndiyo jumla ya wapiga kura wake, wenye vitambulisho vya kupigia kura halali, endapo hawataridhishwa na utendaji wa Mbunge wao basi Watakuwa na nguvu ya petition kwa kutumia vitambulisho vyao vya kura kumngoa Mbunge huyo, endapo wananchi hao kwa zaidi ya asilimia 75% wataamua kujiorodhesha pamoja na kopi za vitambulisho vyao pembeni, na kuviwakilisha kwa Tume na kopi ingine kwa bunge liwalo na mahakama. Basi,
#HILI LITAONDOSHA WABUNGE WAHUNI AMBAO HAWAKUWA NA NIA YA DHATI YA KUWAHUDUMIA WANAJIMBO HUSIKA, ALAMSIKI,
#LICHUKULIWE KUONGEZA UWAJIBIKAJI NDANI YA MAJIMBO YA UCHAGUZI.
Katika bunge lijalo agenda hii ichomokewe, Kwa ulazima although wengi hawataipenda kabisa!Hatakiwi kutamka, ni KATIBA ndio inayotakiwa kutamka. Kwa hiyo nyie mkisikia katiba mpya mnawaza CHADEMA tu