natamani mume wangu anywe pombe

amina na iwe hivyo. MUNGU akupe sawasawa na ulichoandika
 
Du mie ni mnywaji ila wife wangu hataki kabisa ninywe anapenda kila muda niwe nyumbani.
 
ntaolewa ndio na wa sifa hizo ndo nizitakazo

Kila mtu hupewa kile aombacho,issue ni kwamba ni nani atakupa ulichoomba.Ukipewa na shetani mara nyingi huwa ni kazi kwelikweli,Na Mungu hawezi kukupa wanaopenda kurudi usiku.Tafakari upya sala yako.
 

bora umesema mpema
 
usimbe njaa wakat huna hel mfukon,na muda huo kariakoo,
na kwako kawe.
 
usimbe njaa wakat huna hel mfukon,na muda huo kariakoo,
na kwako kawe.

Tatizo hujui rules za Kariakoo, Kariakoo unaingia restaurant yeyote unawaambia una njaa, utakula utakunywa ukipendacho bila kubughudhiwa, mradi uwaambie tu kuwa umeishiwa kabla hujala. Hiyo ndio rule namba 1 ya Restaurant za Kariakoo, hanyimwi mtu chakula.

By the way, siku nyingine ukishikwa na njaa, tazama watu wenye vibaraghashia na wenye hijab wengi wao hao huwa ni Waislaam, na kwa imani yao, ni marufuku kumnyima mtu chakula hata kikiwa ni chako cha mwisho basi mta share lakini ni mwiko kumwacha mtu mwenye njaa na njaa. Ndio maana hata Kikwete ilipotokea tatizo la njaa mwaka 2006 alitangaza hafi mtu na njaa, nna uhakika alikuwa anaamini kilichopo tutagawana wote na kitatutosha, na kweli ikawa hivyo.
 
we sasa unataka kuliwa 'tigo'. sifa zote unazozitaka ni za wale wanaopenda kula tigo, shauri yako
 
kumbe tunaorudi home mapema tunawaboa wake zetu? My GOd I Never new this before. Me niko free sana kwa My wife, we share and participate in each and everthing, kuanzia kupika, kufua nguo, kuosha vyomboo na kazi zote ambazo zinafanyika ndani ya nyumba. Pengine bado mapenzi hayajachuja, but this is the 4th year of our marriage na nihahisi each passing day yale ambayo tunayfanya pamoja yanaongeza upendo btn us twice. Mh..!! binadamu sisi? Nina rafiki yangu mmoja analewa sana. pengine huyo angelikufaa sana.
 
Kila mtu hupewa kile aombacho,issue ni kwamba ni nani atakupa ulichoomba.Ukipewa na shetani mara nyingi huwa ni kazi kwelikweli,Na Mungu hawezi kukupa wanaopenda kurudi usiku.Tafakari upya sala yako.

Anataka Mungu amfanyie fair! Huyo hajajua madhara ya mwanaume 'kunywa kidogo' na kukaa na 'wenzake mpaka saa nne'!
 

Hawachelewi kukupinga hapa! Utaskia haipaswi mwanaume kuwa hivyo! I think every marriage has its own principles, I second yours!
 
ucjali namalizia hizi laga mbili tatu hapa nakuja!..
 
kuchelewa kurudi home kila siku siwezi...ila kuepuka kukupigia umbeya ntakuwa nashinda na housegirl chumbani kwake mpaka midaa hiyo
 
Ulevi wa misifa huu. Kama huna cha kupost wandugu si ukae kimya! Kwani kuna ulazima wa kupost thread ambazo hazina kichwa wala miguu?


Samahani, ni mtazamo

tu.

Kwanini na wewe usikae kimya, usijibu thread husika. Ni mtazamo tu.
 
Bora umestukia! Ni tangazo la kuvutia wachumba. Ukishaoa tu sheria zinakubadilikia!
Haya, wanywaji changamkieni hapo ila mhakikishe mnasign MoU mbele ya advocate,lol
hzo mbwembwe2...!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…