Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe binti haya unayoomba wenzio tunatamani yawe vice verse :A S-frusty2::wink2:
ntaolewa ndio na wa sifa hizo ndo nizitakazo
a) natamani mume wangu awe ana drink kidogo asiwe mlevilakini
(b) natamani asirudi home mapema arudi by saa nne usiku hivi ,itakuwa poa ila isiwekatoka kwa nyumba ndogo roho yangu nyepesi mie nitakufa
(c) sipendi mwanaume anayewahi nyumbani kumenya vitunguu swaumu,kukuna nazi nakutwanga tangawizi na kunipigisha maumbea ya mtaa,bora akae mtaani huko na wanaume wenzie apate maujanja yamaisha
(d)asiwe mlokole wa kiviile awe tu mcha mungu ,mlokole anaweza kukuambia nimeoteshwa maono waifu tufunge siku saba pia ninashuhudiwa moyoni nimuoe mwanakwaya fulani
By the way sijui wkend hii nitoke vipi
Ngoja niwasiliane na mchungaji wangu kama kuna sehemuya kutoa huduma ya maombi leo,maana shetani amewafunga watu nataka nikawafungue wawe huru .amina
i love u members
usimbe njaa wakat huna hel mfukon,na muda huo kariakoo,
na kwako kawe.
we sasa unataka kuliwa 'tigo'. sifa zote unazozitaka ni za wale wanaopenda kula tigo, shauri yako
Kila mtu hupewa kile aombacho,issue ni kwamba ni nani atakupa ulichoomba.Ukipewa na shetani mara nyingi huwa ni kazi kwelikweli,Na Mungu hawezi kukupa wanaopenda kurudi usiku.Tafakari upya sala yako.
kumbe tunaorudi home mapema tunawaboa wake zetu? My GOd I Never new this before. Me niko free sana kwa My wife, we share and participate in each and everthing, kuanzia kupika, kufua nguo, kuosha vyomboo na kazi zote ambazo zinafanyika ndani ya nyumba. Pengine bado mapenzi hayajachuja, but this is the 4th year of our marriage na nihahisi each passing day yale ambayo tunayfanya pamoja yanaongeza upendo btn us twice. Mh..!! binadamu sisi? Nina rafiki yangu mmoja analewa sana. pengine huyo angelikufaa sana.
Ulevi wa misifa huu. Kama huna cha kupost wandugu si ukae kimya! Kwani kuna ulazima wa kupost thread ambazo hazina kichwa wala miguu?
Samahani, ni mtazamo
tu.
hzo mbwembwe2...!!!!![]()