Habar wana JF,
Mimi mwanzon kigezo cha rangi hakikuwa kipaumbele, lakini baada ya kuoa black sasa ndo mawazo yamekuwa tofauti.
Kila nikiona mwanamke mweupe au maji ya kunde namtaman sana, i wish mke wangu angekuwa vile bt unchangable.
Naomba ushauri, matusi hayasaidii, kwasababu nimejaribu kijizuia nimeshindwa kabisa, kitu white kinanidatisha.