Natamani mwanamke mweupe baada ya kuoa mwanamke mweusi

Natamani mwanamke mweupe baada ya kuoa mwanamke mweusi

ndyo maana uislamu ukaruhusu wake wanne nashangaa baada ya hli kywachukza wanawake lakin wanachukia wanaume ambao allah kafahamu udhaifu wao.ukiwa na wanne unachangwnya mnene,figure,mweupe na mweus kamq hutoshek hapo bc vumilia ukapate tn pepon..oa mwngne.

Uzinzi ni tabia ya mtu tu kuna MTU ana wake wa NNE still anachepuka kwingine.
 
Upo sawa my dear.
Na pia tabia inaenda na asili ya ukoo.
Kuna koo nyengine kuoa na kuacha ndo asili yao.
Akiwa Mwanamke ndo kabisa.

Hawajui tu kua uzinzi, michepuko ni roho zinazowatesa wengi mwishowe wana date na kila aina ya wanawake na still hawapati satistifaction yoyote zaidi ya kujitaftia maradhi na kuondoka duniani kabla ya siku zao.
 
Ndo hivo tena
 
Habar wana JF,

Mimi mwanzon kigezo cha rangi hakikuwa kipaumbele, lakini baada ya kuoa black sasa ndo mawazo yamekuwa tofauti.

Kila nikiona mwanamke mweupe au maji ya kunde namtaman sana, i wish mke wangu angekuwa vile bt unchangable.

Naomba ushauri, matusi hayasaidii, kwasababu nimejaribu kijizuia nimeshindwa kabisa, kitu white kinanidatisha.

Mmh! Jamii hii ya wanaume ndio mnaowafanya wanawake kununua weupe dukani(mkorogo), kununua hips na makalio ya kichina, kubandika makope yale huko njian tinapishana na midoli mingine inatisha tunatamani kufumba macho, lakini yote haya ni sisi wanaume tumekuwa tunahitaji impossible kwa wanawake ili kukidhi matamanio yetu ya siku moja.
Please acha kujiendekeza kaa na mkeo kuwa creative mpende alivyo kama ile siku uliyomuomba kumuoa
 
uzinzi ni tabia ya mtu tu kuna mtu ana wake wa nne still anachepuka kwingine.

soma post yangu mpaka mwisho kama atachepuka bac huyo kashindikana uzinz unasababishwa na matamanio kama hivyo una mke mnene sasa unamtaman mwembamba unaruhusiwa kuoa ukimuoa huitwi uzinz inaitwa ndoa sasa ulipotaka ukazin bas acha peleka posa then oa watu wanaopinga hili n sababu tu wameshikwa na wake zao au din yao ila hakuna mtu ambaye hapendi kuwa na mke zaid ya 1.mke akiwa ktk cku zake mnaumwa wote au akijifungua nawe hupati haki yako aaaah ni shiiiiiida sn.
 
Kabla hujaoa ni bora ukataste ladha na sampuli tofauti tofauti kisha ndiyo ufanye maamuzi magumu
 
Habar wana JF,

Mimi mwanzon kigezo cha rangi hakikuwa kipaumbele, lakini baada ya kuoa black sasa ndo mawazo yamekuwa tofauti.

Kila nikiona mwanamke mweupe au maji ya kunde namtaman sana, i wish mke wangu angekuwa vile bt unchangable.

Naomba ushauri, matusi hayasaidii, kwasababu nimejaribu kijizuia nimeshindwa kabisa, kitu white kinanidatisha.

Nakushauri umnunulie mkorogo ..
 
chepuka hili ni zuri zaidi halafu uoone kama kuna lolote jipya ni yaleyale tu bro .kikubwa moyo umeumbiwa tamaa
 
Habar wana JF,

Mimi mwanzon kigezo cha rangi hakikuwa kipaumbele, lakini baada ya kuoa black sasa ndo mawazo yamekuwa tofauti.

Kila nikiona mwanamke mweupe au maji ya kunde namtaman sana, i wish mke wangu angekuwa vile bt unchangable.

Naomba ushauri, matusi hayasaidii, kwasababu nimejaribu kijizuia nimeshindwa kabisa, kitu white kinanidatisha.
Hahaha
 
Back
Top Bottom