Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wenyewe ndo hawa?
Haya na mkeo alikua anachukulia poa kibamia chako ila sasa anatamani limuhogo unamshaurije?
Wanaume wenyewe ndo hawa?
Haya na mkeo alikua anachukulia poa kibamia chako ila sasa anatamani limuhogo unamshaurije?
Habar wana jf,mimi mwanzon kigezo cja rangi hakikuwa kipaumbele,lkn baada y kuoa black sasa ndo mawazo yamekuwa tofaut,kila nikiona dem mweupe au maji ya kunde namtaman sana i wish mke wangu angekuwa vile bt unchangable,naomba ushaur matus hayasaidii,coz nimejaribu kijizuia nimeshindwa kabisa...,kitu white kinanidatisha.
Chokaaaaa........
Habar wana JF,
Mimi mwanzon kigezo cha rangi hakikuwa kipaumbele, lakini baada ya kuoa black sasa ndo mawazo yamekuwa tofauti.
Kila nikiona mwanamke mweupe au maji ya kunde namtaman sana, i wish mke wangu angekuwa vile bt unchangable.
Naomba ushauri, matusi hayasaidii, kwasababu nimejaribu kijizuia nimeshindwa kabisa, kitu white kinanidatisha.
Mmmh hii ni source ya akina dada kijichubua!
habar wana jf,
mimi mwanzon kigezo cha rangi hakikuwa kipaumbele, lakini baada ya kuoa black sasa ndo mawazo yamekuwa tofauti.