Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

Haswa hapo umeelezea ninachokipenda kwenye mahusiano na hapo yatadumu milele
 
Uwe na amani tu, ni dini inasema mke zaidi ya mmoja ni dhambi na dini zimeanzishwa na watu. Fuata moyo wako, mke zaidi ya mmoja ruksa, tena Mungu wa kweli atabariki. Nasema Mungu wa kweli kwani binadamu bado hatujamtambua, hizi dini hazitatufikisha kwa huyo wa kweli. Fikiria kama kila mwanaume ataoa mmoja, wanaobaki wataolewa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…