Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

Habari zenu wakuu,

Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani naona kama tukiwa wawili ndoa itakua na Raha.

Sitaki kuwa bi mdogo au mke wa pili nop natamani tu niwe mke mkubwa afu mme wangu nimruhusu aoe mwingine ambae natamani tuwe na amani. Nawaona wake za baba yangu mkubwa yaani wanapendana huwezi Dhani ni wake wenza.

Japo kwa dini yetu ya kikristo wanaamini ni dhambi but.

Personally nimeyatamani sana haya maisha.
Una roho ya kipekee sana wewe mwanamke.Kongole kwa hilo.
 
Habari zenu wakuu,

Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani naona kama tukiwa wawili ndoa itakua na Raha.

Sitaki kuwa bi mdogo au mke wa pili nop natamani tu niwe mke mkubwa afu mme wangu nimruhusu aoe mwingine ambae natamani tuwe na amani. Nawaona wake za baba yangu mkubwa yaani wanapendana huwezi Dhani ni wake wenza.

Japo kwa dini yetu ya kikristo wanaamini ni dhambi but.

Personally nimeyatamani sana haya maisha.
Unanifaa sana....karibu ukaribie upewe kiti ukalie na mwenza wako umsubirie.
 
Back
Top Bottom