Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

Habari zenu wakuu,

Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani naona kama tukiwa wawili ndoa itakua na Raha.

Kiukweli kwa changamoto za wanawake wanazopitia na mihemko ya mwanamme ni wazi mwanamke anahitaji msaidizi katika ndoa ,wakiwa wawili itapendeza zaidi.
 
Habari zenu wakuu,

Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani naona kama tukiwa wawili ndoa itakua na Raha.
Wawili hamumtoshi fanya atimize wanne ndio mswano
 
Safi. Hapa utatupata. Sema siku hizi mmepinda, ukiwa mmoja mnatuunguza kwa mto , mkiwa wawili si ndo mtatula nyama kabisa? Sema Amen!
 
Miaka 27 haujaolewa, utaolewa kweli?
 
Hamia uislam mkuu
 
We ndio wife matetial, sijui umechelewa wapi kuolewa
 
Hii danganya toto, ingekuwa kweli unaupenda uke wenza usingepata tabu kuwa mke mdogo.

Hapa unataka umuingize mtu kingi, akishajaa upige kufuli πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…