Natamani nikupende asilimia mia

Yani wewe….nilikuona ulivyokuwa unaniombea mabaya Kwa Mbappe 😁😁
Nikasema huyu anaweza kuniumiza,muda wa kupiga penalties ukifika wakishinda ufaransa namkalia mbali maana huu siyo ushangiliaji. 😅😅
 
Nikasema huyu anaweza kuniumiza,muda wa kupiga penalties ukifika wakishinda ufaransa namkalia mbali maana huu siyo ushangiliaji. 😅😅
Hivi unahisi ushangiliaji wangu ulimpita yule mshangiliaji wa Argentina aliyetaka kuvunja tv ile ya pale juu🤣🤣

Nilikuwa nakuzoom tu ulivyokuwa unaniombea mabaya 🤣🤣kaka mbaya weww
 
Kutambua tu Kuna maumivu na kujua utaweza ku-control hisia dhidi ya any mapicha picha ni Bima tosha hiyoo

Kungwi unani enjoy eeh😅😅?nakutegemea wewe kwenye hii sekta et.
Kungwi mwenzangu bhna…🤣🤣

Hii sekta pana snaa kungwi we acha niendelee kupata views
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…