Natamani nikupende asilimia mia

Natamani nikupende asilimia mia

Lovely, trick yangu hatimae imefanyiwa kazi na matokeo yake mazuri🤣🤣🤣.

Sasa kama makandokando yake unaona kabisa hayavumiliki, hem.muweke pembeni chap ili usijepata sonona, atakuja mwingine mnayeendana kwa mengi, trust me!
Muhimu ni kufanya mahojiano kwanza na mhusika😃😃
 
Happy new year na kwako pia Lee.

Kuna sehemu nilikutag jana.
Kuna mwamba alianza kuandika mwandiko wa uongo.
Thanks changu ...
Sikuona ngoja nitafute make siku hizi unanitenga sana
 
Back
Top Bottom