Natamani nikupende asilimia mia

Natamani nikupende asilimia mia

Kabla ya kupewa mbunu Kuna swali hapo la Mr ERoni je hayo makandokando yanavumilika?? au ndio ushasema huwezagi kuvumilia zaidi ya kuumia tu??
Je ushaongea nae kuhusu hayo na ikashindikana kabisa???
Nimeshamlaza kifuani amepoa kidogo…kwikwi naanza kuisikia Kwa mbali.

Akitulia nitamfanyia mahojiano then nitakuja kujibu hili swali
 
Nimeshamlaza kifuani amepoa kidogo…kwikwi naanza kuisikia Kwa mbali.

Akitulia nitamfanyia mahojiano then nitakuja kujibu hili swali
Lovely, trick yangu hatimae imefanyiwa kazi na matokeo yake mazuri🤣🤣🤣.

Sasa kama makandokando yake unaona kabisa hayavumiliki, hem.muweke pembeni chap ili usijepata sonona, atakuja mwingine mnayeendana kwa mengi, trust me!
 
Back
Top Bottom