Natamani nikupende asilimia mia

Ngoja nikaoge nipulizie na perfume ndipo nimuweke kifuani maana nimetoka shamba kupalilia mahindi vumbi mpka kwenye nywele..nikaogopa nikimweka kifuania atapiga chafya kishenzi😁😁

Aise nimemuacha alie mpka akate moto asinichoshe
 
Kwani analia nini huyo mwamba, kuna kitu umemnyima? Hem mpe tuone kama atazira...manake watu siku hizi wanazira hata kwa vitamu🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Wale Mambo yao waachie wenyewe wa vipaji

iga ufeeeeee😁😁😁😁😁!
Hii style naipenda, natamani kuitumia ila sasa shida naitumiaje? Ila watu walifaidi sana madam!! Hivi walikula wakashiba au hii tabia ya kubakisha chakula wanayo?🤣🤣
 
Kwani analia nini huyo mwamba, kuna kitu umemnyima? Hem mpe tuone kama atazira...manake watu siku hizi wanazira hata kwa vitamu🤣🤣🤣
Huyu nikiamua kumfanya asahau stress dakika tano nyingi sana.

Ngoja kwanza alie asafishe macho
 
Aaah kumbe mbinu zote unazo, basi hadi mkesha wa mwaka mpya uwe ushapata suluhu ya hili.🤣 mrejesho muhimu.
Mbinu zote za kivita ninazo unajua😅

Ni timing namlia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…