Natamani nikupende asilimia mia

Natamani nikupende asilimia mia

Si kila mtu anaweza kuzungumza….zaidi ya kuumia🥺
Legeza moyo na mambo mengine yanasovika kwa kuzungumza kwa Lengo la kusovu/ kuweka sawa!
Usikompliketi maisha kiivo kiasi cha kuumiza moyo wako!
 
Ndio ndio, hivi ujumbe unachelewa sana kufika au unaweza usifike kabisa😂😂😂
Na mara nyingi kweli hazifiki. Sasa kama mwamba anapenga kamasi kwa kilio huko atajuaje yanayojiri huku🤣
 
Back
Top Bottom