Natamani nikupende asilimia mia

Natamani nikupende asilimia mia

Bora ubaki 50/50 rafiki itakusaidia kukwepa dissappointments ndogo ndogo mwakani.

Hep niu yia tuu.
 
Ngoja nitafute dikshenari ili niuelewe huu uzi...
 
Mimi wala sio mpenzi wa picha as naweza tengeneza yangu kwa maelezo yako🤣
Mtu akilia unamwacha tu alie, ila hakikisha analia na kutoa machozi kweli kweli. Hii itamsaidia kuimarisha afya yake ya akili.

Ila sasa, huyo phaller akilia muweke kifuani umbembeleze, wallah nakuambia within no seconds atakuwa anapiga tu kwikwi🤣🤣🤣
We phallee umenishinda tabia.
Hii idara ya kubembeleza tuna upacha flani😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom