Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 791
- 1,852
Afanye oparesheni Zifuatazo
1. Atangaze siku 30 za kila basi llililoweka ngao waondoe mara moja, kwasababu inachangia sana kiburi cha ku-overtake na kuhatarisha usalama barabarani
2. Atangaze oparesheni ya kutokomeza tandabui baraarani ( Yaani bajaji zote zinazofanya kazi kama daladala kwa kuokota abiria vituo vya daladala zikamatwe na faini iwe 300k, halafu mkamataji apewe 50k ili kudhibiti rushwa )
Haiwezekani barabaranj kukawa fujo mara wapite kushoto na kulia kugombea abiria na daladala ambayo imesajiliwa na LATRA wapo kimya
3. Maguta katikati mji wawekewe utaratibu maalum
4. Oparesheni Ving'ora na vimulimuli barabarini apangiwe muda wa kuondoa bila shuruti