Natamani nimsaidie Rais, je nifanyeje? Nje ya urais ni mtu, ni Mama,ni mke wa mtu

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Ni kosa kubwa mnooo, kwa mwanadamu KUKOSA hisia ni kosa kubwa mnooo!

Natamani nimsadlidie RAIS wa Tanzania, maana wateule wake naona hawamsaidiii ipasavyooo.
Siuoni msaada wa WAZIRI mkuu maana matamko yake hayaliponyi taifa

Je nifanyeje kumsaidia Rais Samia Suluhu hassani.

Maana Mimi ntamwambia kweli Ili apone ntamjuza yakuwa Taifa halimtaki aliachie je ntakuwa nimekosea wapi?
 
Anza kumsaidia Kwanza mama yako na yeye awe Rais
 
Back
Top Bottom