Natamani nimsalimie sana Luhaga Mpina ana kwa ana ikibidi mama ampe Wizara

Natamani nimsalimie sana Luhaga Mpina ana kwa ana ikibidi mama ampe Wizara

Mbona kama unashauri Mama afanye maamuzi ya kuwakomoa wengine? Rais anapaswa kufanya maamuzi ya busara yenye maslahi kwa Taifa na sio ku-win watu.

Mbali na siasa za CCM na Chadema tusisahau kuwa tuna TANZANIA.

Tanzania ni yetu sote hivyo uzalendo, uwajibikaji na uwezo wa mtu viwe vipaumbele ktk mchakato wa vetting na sio ku-win au kufurahisha watu.

Mzee nanilia...., kwa hili umechemka.
 
Ni mawazo tu kwamba hivi Mama akitaka ku win watanzania ambao kuna baadhi wamekata tamaa 100% kuhusu viongozi wao kukumbatia uozo, ampe Mpina Wizara angalau si Kubwa Kama ya fedha ila walau Wizara asimamie

Britanicca
Huyu hafai kabisa. Maana Luhaga alikuwa anaongea akiwa kwenye utawala wa Magufuli ni tofauti na ya sasa. Watu wa namna hii ni hatari sana.

Halafu Magufuli alituambia Luhaga mpina ni kichaa kama yeye ndiyo maana alimpa kazi ya kuchoma nyavu za wavuvi
 
Huyu hafai kabisa. Maana lugha alikuwa anaongea akiwa kwenye utawala wa Magufuli ni tofauti na ya sasa. Watu wa namna hii ni hatari sana.

Halafu Magufuli alituambia Luhaga mpina ni kichaa kama yeye ndiyo maana alimpa kazi ya kuchoma nyavu za wavuvi
Magufuli alisema Luhaga Mpina ni kichaa akiwa anamaanisha ni mtu jasiri asiyeyumbishwa na yeyote anapoamua kuchukua maamuzi yake.

Ile clip ipo, usipotoshe kwasababu ya uchawa wako.
 
Huyu hafai kabisa. Maana lugha alikuwa anaongea akiwa kwenye utawala wa Magufuli ni tofauti na ya sasa. Watu wa namna hii ni hatari sana.

Halafu Magufuli alituambia Luhaga mpina ni kichaa kama yeye ndiyo maana alimpa kazi ya kuchoma nyavu za wavuvi
Hukumwelewa ndio maana mama ameshtuka kwamba aliingizwa chaka kuteua takataka zilizotupwa na jpm
 
Huyo hafai kuwa Waziri, anajipiga piga kifua sana kujiona yeye ni bora, too arrogant, na ubunge atafyekwa 2025
Hakuna kichaa anayetambua anachokisema au kutenda ni cha kweli au hapana

Hon L Mpina alichokisimamia ni cha kweli kina ushahidi na unaonekana bayana ila hofu ni wezi kwamba mmeumbuliwa ukiwemo wewe jizi lililokubuhu.
 
Niliiba nini mkuu? Mpina ndio mwizi namba moja enzi akiwa waziri wa uvuvi
Nakuhakikishia wewe ipo siku utarudi hapa unitafute kuomba msamaha kwa kuwa tunakufahamu kwa jina halisi, shughuli zako na mahali ulipo pindi Mh. L. Mpina akirudi ulingoni kwa manufaa ya taifa.

Isivyo bahati una woga wa kijinga na ndimi mbili tahadhari usije ukabadili kauli
 
Back
Top Bottom