Natamani nimsalimie sana Luhaga Mpina ana kwa ana ikibidi mama ampe Wizara

Natamani nimsalimie sana Luhaga Mpina ana kwa ana ikibidi mama ampe Wizara

Luhanga mpina ni mzarendo haswa sisi tunamjua. Kuwachomea nyavu wavuvi ilikuwa sahihi 100% Nyavo zilizokuwa zinavhimwa ni zisizo kizi matakwa ya Sheria za uvuvi mfano makokolo.
Ninyi kama sio watu wa ziwani punguzeni miwasho msije Kunwa pasipo hitaji kukunwa.
 
Ni mawazo tu kwamba hivi Mama akitaka ku win watanzania ambao kuna baadhi wamekata tamaa 100% kuhusu viongozi wao kukumbatia uozo, ampe Mpina Wizara angalau si Kubwa Kama ya fedha ila walau Wizara asimamie

Britanicca
Shida ya Mpina ni "radical" mno kwenye utendaji wake na ana upungufu wa busara na hekima hataweza kufit kwenye mizani na style ya utendaji wa mama. Watagombana tu
 
Leta clip basi dada tuione ili tusikie hayo maneno ya ujasiri
He who alledges must prove, umekuja na maneno yako hapo tuwekee hiyo clip Magufuli akitamka hayo maneno uumbuke kwa ushahidi wako mwenyewe.
 
Ni mawazo tu kwamba hivi Mama akitaka ku win watanzania ambao kuna baadhi wamekata tamaa 100% kuhusu viongozi wao kukumbatia uozo, ampe Mpina Wizara angalau si Kubwa Kama ya fedha ila walau Wizara asimamie

Britanicca

Ni kweli kabisa. Watu wamekata tamaa na jinsi mambo yanavyoenda
 
Simiyu,Shinyanga, Mwanza hii mikoa hakuna anaeweza kumnadi mama zaidi ya Mpina..
Apewe tu wizara
 
Back
Top Bottom