britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Yaani umeisha nusaNi mawazo tu kwamba hivi Mama akitaka ku win watanzania ambao kuna baadhi wamekata tamaa 100% kuhusu viongozi wao kukumbatia uozo, ampe Mpina ka Wizara angalau si Kubwa Kama ya fedha ila walau Wizara ! Asimamie
Britanicca
Afanye kama Ruto alivyofanya kwa mahasimu wake wa kisiasaNi mawazo tu kwamba hivi Mama akitaka ku win watanzania ambao kuna baadhi wamekata tamaa 100% kuhusu viongozi wao kukumbatia uozo, ampe Mpina Wizara angalau si Kubwa Kama ya fedha ila walau Wizara asimamie
Britanicca
Huyu hafai kabisa. Maana Luhaga alikuwa anaongea akiwa kwenye utawala wa Magufuli ni tofauti na ya sasa. Watu wa namna hii ni hatari sana.Ni mawazo tu kwamba hivi Mama akitaka ku win watanzania ambao kuna baadhi wamekata tamaa 100% kuhusu viongozi wao kukumbatia uozo, ampe Mpina Wizara angalau si Kubwa Kama ya fedha ila walau Wizara asimamie
Britanicca
Magufuli alisema Luhaga Mpina ni kichaa akiwa anamaanisha ni mtu jasiri asiyeyumbishwa na yeyote anapoamua kuchukua maamuzi yake.Huyu hafai kabisa. Maana lugha alikuwa anaongea akiwa kwenye utawala wa Magufuli ni tofauti na ya sasa. Watu wa namna hii ni hatari sana.
Halafu Magufuli alituambia Luhaga mpina ni kichaa kama yeye ndiyo maana alimpa kazi ya kuchoma nyavu za wavuvi
Leta clip basi dada tuione ili tusikie hayo maneno ya ujasiriMagufuli alisema Luhaga Mpina ni kichaa akiwa anamaanisha ni mtu jasiri asiyeyumbishwa na yeyote anapoamua kuchukua maamuzi yake.
Ile clip ipo, usipotoshe kwasababu ya uchawa wako.
Hukumwelewa ndio maana mama ameshtuka kwamba aliingizwa chaka kuteua takataka zilizotupwa na jpmHuyu hafai kabisa. Maana lugha alikuwa anaongea akiwa kwenye utawala wa Magufuli ni tofauti na ya sasa. Watu wa namna hii ni hatari sana.
Halafu Magufuli alituambia Luhaga mpina ni kichaa kama yeye ndiyo maana alimpa kazi ya kuchoma nyavu za wavuvi
Hakuna kichaa anayetambua anachokisema au kutenda ni cha kweli au hapanaHuyo hafai kuwa Waziri, anajipiga piga kifua sana kujiona yeye ni bora, too arrogant, na ubunge atafyekwa 2025
Niliiba nini mkuu? Mpina ndio mwizi namba moja enzi akiwa waziri wa uvuviHakuna kichaa anayetambua anachokisema au kutenda ni cha kweli au hapana
Hon L Mpina alichokisimamia ni cha kweli kina ushahidi na unaonekana bayana ila hofu ni wezi kwamba mmeumbuliwa ukiwemo wewe jizi lililokubuhu.
Nakuhakikishia wewe ipo siku utarudi hapa unitafute kuomba msamaha kwa kuwa tunakufahamu kwa jina halisi, shughuli zako na mahali ulipo pindi Mh. L. Mpina akirudi ulingoni kwa manufaa ya taifa.Niliiba nini mkuu? Mpina ndio mwizi namba moja enzi akiwa waziri wa uvuvi
Ujinga Mtupu, Kichw lako umelijaza matope?.Huyo hafai kuwa Waziri, anajipiga piga kifua sana kujiona yeye ni bora, too arrogant, na ubunge atafyekwa 2025
Hapana, sijajaza matopeUjinga Mtupu, Kichw lako umelijaza matope?.