Natamani ningefeli shule

Natamani ningefeli shule

Pamoja na kua sina kazi ya kueleweka na wala sio ya nilichosomea ila bado nataka kusoma zaidi.

Sijutii kusoma hata nisipopata kazi niuiyosomea, elimu ni hazina kubwa kwangu.

Kama ulisoma halafu ukawaza kupigwa kiyoyozi huku ukisubiri 3M mwisho wa mwezi ndo tatizo hilo..
 
Back
Top Bottom