Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,226
- 8,961
mumemwenyewe mbahiri hata hajawahi kuninunulia chips tangu anioe.. Si bora nikubali mwaliko wa karucee mie nikajichane
aaa! Ngoja aje, mie ntakua thimo kabitha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mumemwenyewe mbahiri hata hajawahi kuninunulia chips tangu anioe.. Si bora nikubali mwaliko wa karucee mie nikajichane
aaa! Ngoja aje, mie ntakua thimo kabitha!
He??? Ina maana nitaondoka na mimba? Nimeghairiiiii huko hakunifai lo??
nitamwambia wewe ndio uliyeniambia niende
queen kan acha kunizibia kampani ya lady doctor. Si unaona kuna vitisho vya kuondoka na mimba? Ngachoka!! Uja na wewe twende.
akaa kwan mie ndo nakushika maskio.....ukitaka nthitheme twende wote! Lol
kawe beach... toka huko mbezi kwa wachaga. lol