Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe unasubiri uipate hiyo ruhusa?
sahivi nipo dasilamu shemejiNa wewe toka huko Mpwapwa kwa Wakaguru...
sahivi nipo dasilamu shemeji
Hahaha ndio umeamua kujitetea hivyo eenh
umeamua kupingana na ukweli au?
huko ni kiti moto tuu mkuu,chipsi samaki choma nenda KAWE CLUB hutajutiaNaomba wale wataalamu wa ramani please munielekeze sehemu yenye samaki wazuri wa kuchoma. Ikiwezekana iwe mitaa hii ya Mbezi ya Kimara. Sitaki kukipeleka ki baby changu mbali. Senkyu na karibuni twende wote.
Mmmh!!! haya shemegi basi tutafutane panapo majaaliwa ya Maulana...mzima lakini weye?
hivi na wewe upo daslam eeh? haya ntakutafuta. mi mzima hofu na mashaka kwako ninaekufahamu kwa keyboard.