Natamani Samaki wa Kuchoma na Chipsi mieeeeee

njoo Mwanza upate sato wa kuchoma/kukaanga na chips huku..ID yako nzuri Karucee
 
jiraniiiiiii naomba muongozoooo watu8

Duh sikuwa nimeona hii kwa kuwa leo sijashinda JF jirani...nilikuwa Mbezi ya kule upepo unapovuma.
Anyway, hii bidhaa huku pande yetu huwa hakuna zaidi huwa kuna Sato wa kukaanga.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…