milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Akiwa zezeta basi itakuwa afadhali Sana kwa Usalama wa Umma kwa sababu hatakuwa na uwezo tena wa kurudia kufanya uhalifu mbaya kama huo aliofanya kwa hao Wafanyabiashara aliowaua.NImesikia kweli huyu muuaji namba moja yuko Morogoro Mkambarani. Ila nasikia hali yake ni kama zezeta fulani hivi. Afadhali angefungwa jela angekuwa anajitambua ila hapo alipo sasa mmmmmmmm
Unavyo amrisha sasa,Mbele yake nyuma yetu tena?
Futa hiyo kauli haraka!
Tusubiri Tangazo kutoka oyster bay jijini Dar es salaamPolisi wengine wajifunze
Ukiisoma kauli yake vizuri hata wewe utamkaripia ππ€£. Eti "nyuma yetu mbele yake"Unavyo amrisha sasa
Mimi huwa siitumii hiyo kauli coz selew maana yake πUkiisoma kauli yake vizuri hata wewe utamkaripia ππ€£. Eti "nyuma yetu mbele yake"
Hata mimi nilikuwa sijui ila nilimwuliza mke wangu maana yake, nilipoielewa ndo nimekuwa mkali kama mbogo kiasi kwamba ningekutana na aliyeiandika ningefanya kitu mbaya.Mimi huwa siitumii hiyo kauli coz selew maana yake π
Kwa hiyo huyu bageni ana shati hilo hilo tu. Au hii ndiyo ile ile picha ya mwanzo?Mwangwi wa sauti ya Wakabing'oko!
SSP Christopher Bageni, atanyongwa hadi kufa! Ndivyo Mahakama ya Rufaa ilivyoamua. Hakika uamuzi wa leo ni wa mwisho katika mwenendo wa kesi yake. Hana pengine pa kukata rufaa, pa kukimbilia wala pa kupinga, ni kweli Mahakama imeamua anyongwe hadi afe. Hivyo Jaji Stellah Mugasha amegonga nyundo. Its over! imeisha!!
Hawezi kukata rufani tena kwa sababu hukumu ya leo ni review, marejeo ya hukumu iliyotolewa na mahakama hiyo 16 Septemba 2016 ambapo alihukumiwa kunyongwa "hadi kufa" na jopo lile la majaji watatu wakiongozwa naye Jaji Benard Luanda. So hakuna mahakama ya 'kujadili' tena shauri hilo labda iwe kupitia msamaha wa Rais
View attachment 3243016
Sasa kwao wasiokumbuka, Bageni alikua Mkuu wa Upelelezi, wilaya ya Kinondoni. Mwaka 2006 yeye, akiwa na wenzie, wakiongozwa na aliokua Kaimu RPC Dar Abdallah Zombe, walituhumiwa "kupanga njama" za kuwauwa wafanyabiashara watatu wa Morogoro. Sasa A. Zombe anadaiwa kuongoza wenziye kwenye 'mpango' huo baada ya kujulishwa kuwa wana madini na fedha kiasi cha shilingi milioni 200.
Hivyo 'wakaikamata' gari waliyokua wameikodi! Na kisha Wakamuongoza dereva hadi msitu wa Mabwepande. Kisha "wakapora" madini pamoja na fedha zote walizokuwa nazo. 'Wakawafunga' vitambaa vyeusi usoni, na hadi pingu mikononi. Wakapigwa risasi za 'kisogoni' na kuuawa wote akiwemo dereva wa taxi waliyemkodisha. Aise!!
Na kesho yake Zombe akaita media na kusema wameua majambazi, yaliyokua yanarushiana tu risasi na Polisi. Rais Kikwete akaunda 'tume' ya Jaji Kipenka kuchunguza jambo hilo. Ikabainika jamaa, hawakuwa Majambazi. Kilichouma zaidi walikua ndugu wa "familia moja". Mama mmoja alipoteza wanae watatu pia watoto wa familia 4 wakapoteza baba zao. Na wake wanne wakawa wajane kwa tamaa za watumishi wachache!
Zombe alifanikiwa 'Kuchomoka' kwenye kesi hii baada ya kusota "rumande" kwa miaka kadhaa!! Lakini Bageni 'alikutwa' na Hatia! Akahukumiwa kunyongwa. Akakata rufaa na akafeli. Akaomba review ya kesi sasa rulling imesomwa leo kuwa ANYONGWE HADI KUFA. Yani si kunyongwa tu!
Hakika waliomtuma hawapo nae Segerea. Wala hawatanyongwa pamoja nae. Atanyongwa peke yake. Na Wanaohangaika nae sasa hivi angalau kumfariji ni familia yake, A. Zombe hayupo OCD wake hayupo na hata IGP wa wakati ule hayupo pia. Ni yeye mwenyewe, na atanyongwa pekee!!
Hakika hii iwe fundisho kwa wote wanaotumwa kufanya maovu leo i.e kuteka kuua na kupoteza watu. Ipo siku utajikuta peke yako. Aliyekutuma hatakuwepo, basi utasimama mwenyewe kutoa hesabu, ya maovu yako. Kama sio hapa duniani basi hata kule mbinguni. Lakini ipo siku utalipa. Kama ambavyo, Wema ni Mbegu. Na Ubaya pia ni mbegu, humea hukomaa na ni lazima uvune! Usijitume wala Kutumwa kwa mabaya, Hukumu ya Mungu ni ya haki. Hakuna jasiri wa kudumu!!
Nchi yangu, Machozi yako, Nchi tamu ya uhuru!
Kumbe umewowa ππHata mimi nilikuwa sijui ila nilimwuliza mke wangu maana yake, nilipoielewa ndo nimekuwa mkali kama mbogo kiasi kwamba ningekutana na aliyeiandika ningefanya kitu mbaya.
Hii ni Habari njema Sana kwa Wapenda HAKI hapa Tanzania.
Ili kulinda maslahi mapana zaidi ya umma katika nchi hii, Rais wa nchi anapaswa ASAINI HATI YA KIFO ya huyu Mtu ili angalau kuanza kurejesha imani iliyopotea miongoni mwa Wananchi dhidi ya vyombo vya Dola, hususani kwa Jeshi la Polisi na Tiss.
Siyo Siri hata kidogo, Wananchi wengi zaidi tayari wamepoteza kabisa Imani dhidi ya Jeshi la Polisi kutokana na vitendo viovu vya uhalifu kama aliofanya huyu Askari Polisi Christopher Bageni.
Mke wa muda.Kumbe umewowa ππ
Ciciem ni mafπ©π©π© na samia buhiri ni takataka kesi hiyo walitakiwa kinyongwa watu kama 10 hivi ...basi hata huyo atapokea msamaha wa mjambiani mipumbavuMwangwi wa sauti ya Wakabing'oko!