Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisaSide effect naziandaa soon nitaziweka humu ila faida ni nyingi mkuu
😂😂Wewe unaitwa Zinc ?
Wewe badilisha tu ila mimi nay!Nitakuwa mfano wa kuigwa humu mpaka watu watakubaliana na mimi mkuu
Ni wazo nzur👏👏Hhahaha hapana mkuu nataka tuache kudharauliwa humu jukwaani
Sasa picha inasaidia nini?Hahaha lakini ukiweka picha itamfanya mtu asikuchukulie poa mkuu