Natamani sana kila member humu wa JamiiForums atumie jina na pamoja na picha yake halisi

Sawa mkuu nimekupata ID's fake zina umuhimu lakini sometimes humu jf dharau nyingi
Sasa humu unataka heshima ili iweje mkuu[emoji23][emoji23] hapa post na pitia threads upate kitu kivyako...... Ukitaka heshima tafta ela.
Hapa tunajibizana af hatuonani, so hata hio ID haitaplay part ppte.

Af jiulize kwann udharauliwe ilhali hujulikan??.
Epuka mambo yatakayosababisha udharauliwe eg. Kutukanana na members, kutumia lugha chafu nk
 
Ni kweli mkuu lakini mbona wana jf wakongwe wanalalamika kuwa vijana hatuna nidhamu sasa hapo vp mkuu ?
 
Hayo ni mawazo yako na tunayaheshimu mkuu, kwa hapa JF hasara zitakuwa ni nyingi kuliko faida,nafkiri Kuna mitandao mingi Sana ambayo watu wako verified huko Sasa ndo pa kwenda kuangalia hao verified users,ila kwa hapa majanga yatakuwa mengi Sana,kuhusu suala dharau mbona ni rahisi tu, hakuna haja ya kuumia Kama mtu atakuletea dharau hapa,kwa sababu binadamu hatufanani kwa tabia au mienendo...watu watauwawa,watu watajiua,watu wataacha kazi wenyewe,watu wataachishwa kazi,familia zitagombana,mahusiano yatavunjika na ndoa kuharibika,watu watajawa na taharuki na mengine mengi...Mimi binafsi nilisoma kisa fulani humu humu mwaka fulani,hicho kiliandikwa humu na member mmoja hivi na Mimi nikakisoma vizuri tu kile kisa,ila asilimia 99 kile kisa kinanihusu Mimi mwenyewe na Mimi pia nikawa ni mchangiaji kwa id yangu ya zamani...Sasa Kama ingekuwa ni id halisi nafkiri msimuliaji Sasa hivi angeshafariki kwa sababu anazojua yeye mwenyewe...
 
Na kama ndo hivyo ina maana ata watumiaji wengi wa jf hawapendi kujulikana na watu wao wa karibu kama wanatumia huu mtandao ?
 
Nipo kwenye mchakato wa kuweka adi picha yangu humu ili tuheshimiane tu maana hali ni mbaya sasa
Kwahiyo mkuu unahisi picha yako inakosa heshima iliyostahili kupewa??
 
Sometimes yes na sio mimi tu wapo wengi humu hasa wazee wengi humu wanatukanwa na vitoto vidogo tu
 
Ushauri wako ni sawa maana kweli unasoma comments zingine unasema aliyeandika hii comment si mzima kabisa. Kutukana watu na wengine kwenda mbali na kutokuheshimu hata mkuu wa wa nchi. Anyway kitu kingine kitakuwa ngumu watu watashindwa kusema yanayokera na kukosoa kwa kuogopa wasiojulikana. Ninachojua wanadamu saa nyingine ni watu wa ajabu
 
Hongera kwa kunielewa mkuu japo kuweka picha itakua ngumu basi watu waheshimiane tu
 
Back
Top Bottom