Natamani sana kuiona nusu fainali ya AFL kati ya Al Ahyl vs Mamelodi Sundowns

Kilimbatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
4,331
Reaction score
5,865
Wakuu japo nimetanguliza uzalendo mbele kwa taifa na nchi yangu,

Ila upenzi wa kandanda safi na la burudani, unanifanya nitamani mnyama ashinde njaa Misri

Nakumbuka kama isingekuwa makosa ya beki M.Mvala wa Mamelodi Sundowns kuisawazishia Wydad kwa goli la kujifunga mnamo dakika ya 83 basi msimu wa CAF CL 2022/2023 ungeshuhudia fainali bora kati ya Al Ahyl na Mamelodi Sundowns

All the best kwa Simba

Mwenye nguvu ashinde

#Mpira Bila ya Mbereko Inawezekana
 
YANGA kwanini Hawamo??????

Ningetamani sana Kuona Fainali ya Yanga na MAMelody.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…