NAPENDA sana kuogelea lakini Nikiwaza kwenda kuogelea maji ya baharini/Ziwani kuna mtihani mwingine huwa naogopa kuogelea maji ambayo sioni ndani yake kuna nini kwa kuhofia nyangumi, wanyama wa majini na mazingaombwe ya majini!
Hivyo sehemu pekee ya kistaarabu ni Swimming pool lakini huku nako kumeingiliwa!
Niko hapa natamani kwenda kuogelea sehemu yoyote yenye swimming pool lakini nikikumbuka kuwa kuna waogeleaji wengine hukojoa humohumo kwenye pool au wakati mwingine wengine kujamiiana kabisa humohumo inanipa kinyaa!
Hamu ya kuogelea inakata kabisa! Na hili limekuwa likinikatisha tamaa kila nikiwaza kuogelea!
Sijui huko wenzagu!