Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,214
Hahahha sikitaki hiko cheo [emoji1787]Usibishe wewe haiwezekani maji asubuhi tuweke Lita 3000 jioni ziwe 3452!!!! Hizo 452 zimetoka wapi..? Acheni hizo ustaarabu kitu cha bure..[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahha sikitaki hiko cheo [emoji1787]Usibishe wewe haiwezekani maji asubuhi tuweke Lita 3000 jioni ziwe 3452!!!! Hizo 452 zimetoka wapi..? Acheni hizo ustaarabu kitu cha bure..[emoji23]
Hizo Lita 2 ndo zakwako!.. chakufanya jitahidi wenzako wanamwaga kojo hadi la Lita 5,ongeza spidi huo ndo husia wangu maana hamuwezi kuacha mmeshakubuhu.Hahahha sikitaki hiko cheo [emoji1787]
AloohHizo Lita 2 ndo zakwako!.. chakufanya jitahidi wenzako wanamwaga kojo hadi la Lita 5,ongeza spidi huo ndo husia wangu maana hamuwezi kuacha mmeshakubuhu.
How much do u trustMaji yako treated na Dawa
Maji yako treated na Dawa
Kama watu wa fumigation tu huwa wanapiga dawa feki wadudu hawafi, sembuse huko pool kwenye mikojo isiyoonekanaNa huu ndo ukweli wengi hawaujui. The yale maji yana dawa. Ukikojoa mkojo unakuwa hauna madhara
Haina uhakikaSwimming pools wanaweka dawa Kwa hiyo ni salama hata ukikojoa kawaida au Kwa bao...
Wakiweka dawa ya kuuwa wadudu Mara nyingi waogeleaji hulalamika ngozi kuwashwa! So kuliko kuwakera wateja huweka dawa kidocho ambayo haina madhara kwa wadudu na kwa waogeleaji!Haina uhakika
Wazo zuri SanaTengeneza ka swimming pool flani hapo geto kwako utaogelea kwa Raha zote
Kha [emoji1787][emoji1787]Hizo Lita 2 ndo zakwako!.. chakufanya jitahidi wenzako wanamwaga kojo hadi la Lita 5,ongeza spidi huo ndo husia wangu maana hamuwezi kuacha mmeshakubuhu.
Wazo zuriJARIBU JACCUZI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengine wanakunya ndani, anazama chini na kuachia kitu anaibukia sehemu tofauti
Ko watu wanafunga had bao la mkono humo ndani?Swimming pools wanaweka dawa Kwa hiyo ni salama hata ukikojoa kawaida au Kwa bao...
Kawaida sana, waku kunjunjana kwenye swimming pool...Ko watu wanafunga had bao la mkono humo ndani?
Kabisa hasa jion jioniKawaida sana, waku kunjunjana kwenye swimming pool...