MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kwanini usiwachane kabla ya huyo mzee Mkono hajafariki? Huo ndio unafiki ambao si mzuri.Naomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono.
Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.
Msiba wa Mzee Mkono ni mkubwa kutokana na uwekezaji wake na nafasi yake pia kwa Jamii, kwahiyo watani hawatakosekana.Naomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono.
Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.
Fungua code MkuuNaomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono.
Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.
Nimecheka mpaka basi. Haya bhana.mimi niko njiani kwenda kumzika mtani, lakini tutazuia jeneza hadi tuseme ukweli, na ukweli utasemwa nikiwa nimeshika mkia wa ng’ombe na vazi langu la ngozi kifuani, nitaeleza jinsi mzee alivyotelekezwa, na nitamchana yule mbunge kingu kwa kufaidi pesa za mzee kwa kumdanganya binti yake bila aibu lazima nitasema na mengine mengi nayoyajua, na nduru kwa kutumia pembe la ng’ombe lazima itapigwa, na mvua itanyesha maana atakua anazikwa chifu hivo lazima tuombe mababu zetu mvua inyeshe kubwa kumsindikiza chifu,
Wewe ndie ulieanzisha hii threadmimi niko njiani kwenda kumzika mtani, lakini tutazuia jeneza hadi tuseme ukweli, na ukweli utasemwa nikiwa nimeshika mkia wa ng’ombe na vazi langu la ngozi kifuani, nitaeleza jinsi mzee alivyotelekezwa, na nitamchana yule mbunge kingu kwa kufaidi pesa za mzee kwa kumdanganya binti yake bila aibu lazima nitasema na mengine mengi nayoyajua, na nduru kwa kutumia pembe la ng’ombe lazima itapigwa, na mvua itanyesha maana atakua anazikwa chifu hivo lazima tuombe mababu zetu mvua inyeshe kubwa kumsindikiza chifu,
Naomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono.
Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.
Wazee wa Kizanaki waliwasisitiza muoe wanawake wa Nyumbani mkashupaza shingo sasa hayo ndiyo matokeo yake. IFIKE PAHALA UTAMBUE KWAMBA MKE WA NYUMBANI KWENU ANA FAIDA KUBWA KULIKO HAWA WA KUKUTANA MJINI VITOVU KAU KAU.Naomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono.
Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.
Duh! Kumbukeni wamefiwa na mkuu wa boma yao.Naomba Wahaya, Wanyaturu, Waha, Wanyiramba, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi wajae Msibani ili Wamchane Leah Bintiye Marehemu Mzee Mkono.
Pia Wazaramo na Wahehe nao Wajae ili Wamchane Mjane wa Mzee Mkono ( Mama Leah ) kwa waliyoyafanya.