Natamani Sana mwanamke anishike hivi

Wanajua kupiga mechi kweli?
 
Hapo kwenye usafi wa kinywa Mzee labda kama hakupendi ila hata kama una harufu ya mamba
Duh harufu ya mamba... Sipati picha yani mamba yale mavitu anayokula hiyo harufu yake mdomoni sasa ni balaa 😁😁😁😅😅😅
 
Unashindwa nini sasa ndugu?
Kushikwa hivyo si kawaida tu
Kushikwa ile ya ukweli kweli,sio kushikwa ya kiwizi wizi unsyoweza kushikwa na goma ulilolitongoza leo Asubuh,jioni linaanza kukuita dear!!
Ushikwe hivyo na chombo,ambacho ukisafiri hata miezi SITA,ukirudi unakuta mali zipo salama!!!!!
 
Ile yenyewe au sio? Ile yenye feelings hujui zimetoka wapi😂
 
Duh harufu ya mamba... Sipati picha yani mamba yale mavitu anayokula hiyo harufu yake mdomoni sasa ni balaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…