Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

Mkuu ukae ukijua kwamba ndoa au kuoana ni utamaduni wa waislam. Wanamfuata kiongizi wao mtume. Wakristo wanaoana wanamfuata nani wakat yesu hakuoa? Ndio maana wakristo wanabuni buni tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mbona vyote ulivitaja kama vielelezo vinavyoonyesha ubora wa ndoa za kiislamu ata kwa wakristu vipo

Mfano umeongelea utayari ni wapi ndoa ya kikristu watu wanalazimishwa kuoana hujui kuwa kulazimisha kuoa au kuolewa ni impedement kwenye ndoa

Upendo ni wapi kwenye ndoa ya kikristu palipokatazwa wana ndoa wasipendane

Conclution ni hii umesema umekaa kwenye ndoa I hope hii ni experience yako ya ndoa yako umeamua ku generalize na kifupi ni kwamba yaonekana uliingia ndoani ukiwa na expectations kubwa kuwa maisha ya ndoa ni mteremko vumilia tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Pendo la kweli ni la maisha yote inafikia kipindi mnachokana kihisia lakini upendo baina yenu ni lazima muhakikishe hautoweki

Talaka imekuwa sumu kwa ndoa nyingi kitu kidogo tu unajua tu apa nikuachana tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Duh hi kali....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukristo ni kumfuata Yesu ambaye hakuoa,wewe imekuwaje uoe?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Luka 20:34 Yesu akawaambia,wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa.

Andiko hilo kwa uwazi linataja wale wanaostahili kuoa na kuolewa kuwa ni wana wa ulimwengu huu.Hivyo ili Yesu aoe ingepasa awe na asili ya ulimwengu huu, hebu tumuulize mwenyewe kama alikuwa na asili ya ulimwengu huu au vinginevyo.

Yohana 8:23 Akawaambia, Ninyi ni wachini, mmi ni wajuu, ninyi ni wa
ulimwengu huu, mimi si wa ulimwengu huu.
kwahiyo swala la kuoa na kuolewa linahusika na wale wana wa dunia hii, hivyo kwakuwa asili ya Yesu si dunia hii hilo hakuhusika nalo zaidi sana yeye ni Mungu.

Je wana wa ulimwengu tunaruhusa maalumu ya kuoana?
Yeremia 29:6
oeni wake, mkazae wana na binti; kawaozeni wake wana wenu.
.
UMESHAMJUA KRISTO NI NANI?
 
Biblia nzima haijaweka utaratibu wowote juu ya ndoa zaidi ya kuchukuana ama mvulana kupewa msichana.Kama unabisha weka andiko linaloeleza taratibu za ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona unaenda out of topic hapa tunaongealea swala la kusema kwamba kwenye ukristo kuna ndoa za jinsia moja, ndo nataka mniambie hizo ndoa za jinsia moja kwenye ukristo ziko kwenye andiko lipi? na kanisa lipi?
 
Usiwe poyoyo, hiyo Saudi Arabia au Oman?

Mkadanganyane na wajinga wenzenu.
Mimi sio zuzu kama wewe umetaka ushahidi wa Oman au Saudia wakipiga wazinzi nimekupa tena kutoka CNN.
.
Hapo ni Saudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…