Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

Unaota? Kutaka ushahidi ndiyo povu? niombe wewe ushahidi wa sheria ya kupigana mawe iko wapi nikuwekee.
Tulia sindano ziingie wewe.....ndoa ya kiislamu ndiyo ya uhakika, hizi za kikristo ni magumashi makubwa! Kama huupendi uislamu si uhamie ukristo kwani umelazimishwa?
 
Tulia sindano ziingie wewe.....ndoa ya kiislamu ndiyo ya uhakika, hizi za kikristo ni magumashi makubwa! Kama huupendi uislamu si uhamie ukristo kwani umelazimishwa?
Sindano imewaingia nyinyi, mada ipo wazi kabisa, kwa kukujuza tu, si ndoa pekee kila kitu katika Uislam ni chema na chepesi sana tena.
 
Najua unaongea hivyo sababu huna mtoto wa kike au huna dada.

Asingekudanganye mtu wazazi huwaga wanapata wakati mgumu mno hasa mtoto wao anapoachika alafu baya zaidi karudi nyumbani na mtoto ,sababu wanajua mzigo ni wao na aibu ni ya kwao,sikia kwa watu yasikukute.

Alafu wale watoto ndio wanakuwa katili sana kwani hawatojali hisia za mwenzake na hawatoona umuhimu wa ndoa Mwisho siku mnatengeneza kizazi kibaya kisichojua nini maana ya ndoa na familia.
Mkuu umeigusa familia yetu asee, inshort nikwamba kuna huyo mwenzangu na mie kakutana na mwanaume huko bila hata kuchunguzana hatimae Mimba hiyo

Haya harakati za kuwafungisha ndoa zikaanza upande wa mwanaume wakidhani mwenzangu na mimi ni muislam kumbe mkristo pia pia yule jamaa kumbe hana mahali wala kazi hivyo ndg yake akataka kumuolea cjui

Basi walivyojua mwenzangu na mimi mkristo wakapotea mazima wakati walikua washandaa na mashee

Basi hatimae tamko likatoka kwamba tunataka azae ndiyo tumchukue hivi ninavyoandika hapa mwenzangu na mimi alishazaa na toto lenyewe linashaanza hadi kutambaa lakini hakuna direction yoyote ile na jamaa nalo kula kulala

Waislam bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi umejifunza mengi na hauishi kimapokeo.Ningependa uendelee kuongea ukweli wala sio kuzongwa na chuki zisizo msingi.Jifunze mengi ili hata ukipinga au kuunga mkono iwe inatokana na elimu sio maneno ya vijiweni.Apendapo mwenyezi Mungu atakunusuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukristo upi wenye hizo ndoa? mana kwa hapa tanzania sijawahi kuona wala kusikia kanisa linalofungisha ndoa za jinsia moja na wala kwenye biblia ambayo ndo muongozo wa kanisa hakuna ndoa ya jinsia moja tena imeandika kabisa ''OLE WAO WAFIRAJI NA WAFILWAJI MANA ZIWA LA MOTO LINAWASUBIRI'', sasa unaponiamba kwenye ukristo kuna hizo ndoa labda unipe mfano
Biblia nzima haijaweka utaratibu wowote juu ya ndoa zaidi ya kuchukuana ama mvulana kupewa msichana.Kama unabisha weka andiko linaloeleza taratibu za ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss kiukweli ni kwamba uislam ni dini imejitosheleza haina walakini wala kasoro yyt ila kuna conspiracy iliyo enezwa ulimwenguni ya kuonesha kwamba uislam ni dini ya ma terorist ,dini ya unyanyasaji ila kiukweli hamna kitu kama hicho katika uislam ujuwe kwamba hata uislam wenyew unatufunza kuwaheshimu wanawake,,kuwatunza na tusiwanyanyase kwa namna moja ama nyingine,,soo unapoongelea swala nzima la ndoa ndoa sisi kwetu ni ibada na imewekewa misingi itakayo fatwa ili iendeshwe vizuri itakapo vunjwa basi ujuwe kwamba na ndoa pia itavunjwa hamna mambo ya kulazimishana katika dini hutaki kuishi na mwenzio basi !!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu nikushauri yafuatayo.
1. ukristo hujabanwa unaweza badili ukaenda huko kuzuri.
2. Wewe sio mkristo lakini ni mtu wa dini, hujui hata ukristo ni nini. Ukristo huwezi ingia jambo lolote kwa majaribio, iwe ndoa, iwe huduma au wito wowote. hivi vitu havijaribiwi katika ukristo.
mkristo ukitaka kuoa sio swala la kupenda tu ni swala la Mungu kuridhia hio ndoa maana sio majaribio. Ndoa ya kikristo ni ndoa bora kuliko zote duniani kwa sababu inakufanya usiingie ndoa kichwa kichwa lakini umtegemee Mungu katika jambo hilo.

Hausomi hata maandiko maana hata hio biblia unasema inabadirishwa, hii sijawahi kuona popote na haijawahi kutokea biblia ikabadirishwa, hakuna hata neno moja linaweza kuondolewa katika biblia.

Nimeoa ndoa nzuri ya kikristo naifurahia sana, nilimuomba Mungu karibia kwa mwaka mzima, Mungu alipomleta huyu mtu ukweli sijawahi kujuta, anakosea sana lakini bado ni mwanamke bora sana kwangu.

Ndoa yako imekushinda unatafta kichaka, ulikimbilia ndoa ukidhani kazi ya ndoa ni kutiana tu, hujui maana ya ndoa.
Yakobo a.k.a Israel alifuata imani ipi basi? Maana watoto wake(wana wa Israel) walitokana na mama wanne.

Biblia nzima haijaweka utaratibu wowote juu ya ndoa zaidi ya kuchukuana ama mvulana kupewa na wazizi msichana.Kama una bisha weka andiko linaloeleza taratibu za ndoa au kuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All in All...wewe sema ndoa za sikuhizi nyingi zipo hovyo sana

Hakuna uaminifu

Sio kwa Wakristo wala Waislam...hakuna penye inafuu

Utandawazi, tecknolojia na mengine vimeharibu ndoa.

Zamani katika Ukristo Mume mmoja na Mke mmoja na matukio ya hovyo hayakuwa mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani ipi hiyo?Maana kizazi teule na barikiwa cha Mungu kimetokana na mama wanne na mume mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom