Jamani wanajamvi!
Mimi ni mdau na mchangiaji mzuri wa maada mbalimbali hapa jamvini,
Kadri cku zinavyosonga mbele najikuta nafurahishwa sana comments za "madame x" mpaka naanza kutaman walau kumuona,kujua anaishi wapi na hata username yake ni burudani tosha kwangu!
Pleaz naombeni ushauri!