Natamani sana nikututane na "Madame X"

Natamani sana nikututane na "Madame X"

MR.LEO

Senior Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
129
Reaction score
25
Jamani wanajamvi!
Mimi ni mdau na mchangiaji mzuri wa maada mbalimbali hapa jamvini,
Kadri cku zinavyosonga mbele najikuta nafurahishwa sana comments za "madame x" mpaka naanza kutaman walau kumuona,kujua anaishi wapi na hata username yake ni burudani tosha kwangu!
Pleaz naombeni ushauri!
 
We dogo wee, inakuwaje unataka kuingia chooni bila kupiga hodi?
Hivi hujui baba mwenye nyumba ndiye aliyejenga choo?
Na nikuone unamfuatilie tena MadameX, ntakupiga ban usionekane hapa jukwaani.
 
Last edited by a moderator:
Utaweza hicho unachokitafuta?
Pumzi ipo ya kutosha?
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1346884230013.jpg
    uploadfromtaptalk1346884230013.jpg
    38.2 KB · Views: 71
Jamani pumzi ya nini wakati shida yangu ni kutaka kumfahamu tu,,,?
This is not a raining season,right?
 
Jamani pumzi ya nini wakati shida yangu ni kutaka kumfahamu tu,,,?
This is not a raining season,right?

kama unaendesha GX Mia wala usihangaike kutaka kumuona.

tafuta ushauri kwa Mpolee kwanza
 
Last edited by a moderator:
Nina Tembocard Mastercard pamoja na Debit Mastercard!
Kuna swali la ziada?
 
Jamani mnasoma lakini hauelewi, unasoma Madame X. Unaijuwa maana ya X ?

Shauri yako, nenda kakumbane na kikaka.
 
These guys are trying to shamble the ideal intention which i have!
If i had a wish,ningeomba "uni PM"
,,,,'MADAME X',,,,
 
Back
Top Bottom