Tatizo ni akili yako, sio waimba singeliNimetoka Kusikiliza Nyimbo za Wasanii Wakubwa Watatu wa ' Singeli " hapa Tanzania nikajuta hata kwanini nilifungulia hiyo Redio ambayo TCRA nao wana Wajibu wa Kuisimamia.
Maudhui ya Kimatusi ya Msanii
A
"Umo Umo akipanua tu Wewe ingiza Chuma cheusi Moto uwake "
Maudhui ya Kimatusi ya Msanii B
"Oyayaaa Ndizi Tamu ikikatikia ndani ya Mdomo mpana na Mlaini "
Maudhui ya Kimatusi ya Msanii C
"Raha ya Flashi ichomekwe vizuri katika tobo na ikatikie kwa ndani "
BASATA sioni sababu ya Kuwafungia Wasanii Wakweli kama Dudu Baya au kuwaonya Wawazi akina Afande Sele huku hawa wa hizi Nyimbo za ' Singeli ' mkiwaacha, mkiwachekea na mkiwadekeza pia.
Na sijui TCRA mpo wapi hadi mnaviachia hivi Vyombo vya Habari ( hasa Redio ) Maarufu hapa Mkoani Dar es Salaam zinapiga ( tena wazi wazi ) kabisa hizi Nyimbo ambazo zote zimejaa Tafsiri ya Matusi tupu yenye Athari Kubwa kwa Watoto wetu na Vizazi vijavyo.
Natamani sana Siku Moja tu Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan nae kwa bahati mbaya tu akiwa Kwake Ikulu azisikie hizi Nyimbo za Matusi za hawa Wasanii wenu wa ' Singeli ' kisha aweze Kuwazingua kama nyie aliowapa dhamana ya Udhibiti mlivyomzingua labda mtaelewa.
Mkuu, pambana tu na maisha. Sasa hivi ni uhuru wa manyani. Ukitaka maadili yalindwe unaonekana mshamba na dikteta kama bro Magu. Huyo mama unayesema asikilize huenda anazisikia mara nyingi kuliko wewe.Nimetoka Kusikiliza Nyimbo za Wasanii Wakubwa Watatu wa ' Singeli " hapa Tanzania nikajuta hata kwanini nilifungulia hiyo Redio ambayo TCRA nao wana Wajibu wa Kuisimamia.
Maudhui ya Kimatusi ya Msanii
A
"Umo Umo akipanua tu Wewe ingiza Chuma cheusi Moto uwake "
Maudhui ya Kimatusi ya Msanii B
"Oyayaaa Ndizi Tamu ikikatikia ndani ya Mdomo mpana na Mlaini "
Maudhui ya Kimatusi ya Msanii C
"Raha ya Flashi ichomekwe vizuri katika tobo na ikatikie kwa ndani "
BASATA sioni sababu ya Kuwafungia Wasanii Wakweli kama Dudu Baya au kuwaonya Wawazi akina Afande Sele huku hawa wa hizi Nyimbo za ' Singeli ' mkiwaacha, mkiwachekea na mkiwadekeza pia.
Na sijui TCRA mpo wapi hadi mnaviachia hivi Vyombo vya Habari ( hasa Redio ) Maarufu hapa Mkoani Dar es Salaam zinapiga ( tena wazi wazi ) kabisa hizi Nyimbo ambazo zote zimejaa Tafsiri ya Matusi tupu yenye Athari Kubwa kwa Watoto wetu na Vizazi vijavyo.
Natamani sana Siku Moja tu Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan nae kwa bahati mbaya tu akiwa Kwake Ikulu azisikie hizi Nyimbo za Matusi za hawa Wasanii wenu wa ' Singeli ' kisha aweze Kuwazingua kama nyie aliowapa dhamana ya Udhibiti mlivyomzingua labda mtaelewa.
Acha uongo weweMkuu, pambana tu na maisha. Sasa hivi ni uhuru wa manyani. Ukitaka maadili yalindwe unaonekana mshamba na dikteta kama bro Magu. Huyo mama unayesema asikilize huenda anazisikia mara nyingi kuliko wewe.
Aliposema "nasikia mmezifungia" ilhali yeye ndiye alikuwa namba mbili hiyo nayo ilikuwa singeli tosha. Na ndiyo sababu akamfuta kazi yule bosi "mshamba" wa Tcra aliyekuwa anafungia tv zikiwarusha akina gigi mane wakifanya mambo ya aibu jukwaani.
Narudia, sasa ni uhuru wa manyani. Wewe ilinde tu familia yako na wale uwapendao.
Usitetee ujinga. Sisi sote ni watu wazima, maana ya maneno hayo iko wazi. Ni matusi tu.Hiyo ni interpretation yako wewe.
Kaa pembeni, ya wakubwa haya. Subiri ukikua utayaelewaHivi kumbe flash ikikatika nayo ni matusi eeh
Ndio maana kesi kibao mahakamani mlikuwa mnashindwa kwa kuwaza kipumbavu kama hivi.Usitetee ujinga. Sisi sote ni watu wazima, maana ya maneno hayo iko wazi. Ni matusi tu.