Natamani sana 'Spirit' ya Waingereza iigwe na Watanzania wote kama kweli hatupendi Upuuzi

Natamani sana 'Spirit' ya Waingereza iigwe na Watanzania wote kama kweli hatupendi Upuuzi

Mhuni wa town london yule, UPM ulikuwa kutimiza ndoto zake tu.
 
Waingereza wao hawana Dogo wala Kubwa na Kiongozi wao hata kama wakiwa Wanakupenda vipi Ukiharibu tu watakuambua uachie Ngazi ili aje mwingine mwenye Nidhamu ya Utendaji na Uongozi kwa Umma / Jamii.
Hatuwezi kuwa Nchi ya uchaguzi kila mwaka kama wao au Israel nk..

Wana uchumi na ustaarabu wa kufanya hivyo.
 
Alafu mtanzania bwana!
Yeye hufikiri eti labda kiongozi mwenye wadhifa mkubwa akiachia ngazi nchi ataharibika,mambo hayataenda.Tupunguze mawazo mgando jamani!
 
Waingereza wao hawana Dogo wala Kubwa na Kiongozi wao hata kama wakiwa Wanakupenda vipi Ukiharibu tu watakuambua uachie Ngazi ili aje mwingine mwenye Nidhamu ya Utendaji na Uongozi kwa Umma / Jamii.
Wabongo tulivyo waoga🤣🤣🤣🤣
 
Tanzania and most of African Countries tumejengewa nidhamu ya uoga na kutokujiamini kuanzia kwenye level ya familia zetu nyumbani si watu wa uwazi kusema ukweli sehemu isipokuwa sawa na hiyo imejengeka Hadi level ya taifa kwa viongozi wetu, to me it is truly a tragedy that we cannot reverse.
 
Back
Top Bottom