MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Hatuwezi kuwa Nchi ya uchaguzi kila mwaka kama wao au Israel nk..Waingereza wao hawana Dogo wala Kubwa na Kiongozi wao hata kama wakiwa Wanakupenda vipi Ukiharibu tu watakuambua uachie Ngazi ili aje mwingine mwenye Nidhamu ya Utendaji na Uongozi kwa Umma / Jamii.
Wabongo tulivyo waoga🤣🤣🤣🤣Waingereza wao hawana Dogo wala Kubwa na Kiongozi wao hata kama wakiwa Wanakupenda vipi Ukiharibu tu watakuambua uachie Ngazi ili aje mwingine mwenye Nidhamu ya Utendaji na Uongozi kwa Umma / Jamii.