Natamani shuleni tungekuwa tunafundishwa teknolojia ya nguvu za giza na kiroho

Utapeli upo tena kwenye Kila sector.Hata kwenye mambo ya kiroho ,kanisani, Hospital,mitaani utapeli upo.

Ila ninacho sema ni kweli . Uchawi upo na ni hatari.
 
Utapeli upo tena kwenye Kila sector.Hata kwenye mambo ya kiroho ,kanisani, Hospital,mitaani utapeli upo.

Ila ninacho sema ni kweli . Uchawi upo na ni hatari.
Kwahio watu wafundishwe kitu cha hatari ili wakitumie kwa watu gani au kwa manufaa yapi ?; Kwanini iwe shule (kwa kulazimishana) kwanini wewe kama unataka hio elimu usiitafute huko ilipo ?
 
Hakika kaka. Mimi nimeshuhudia nguvu zisizo eleweka na nauza uza usiku.
 
Kwahio watu wafundishwe kitu cha hatari ili wakitumie kwa watu gani au kwa manufaa yapi ?; Kwanini iwe shule (kwa kulazimishana) kwanini wewe kama unataka hio elimu usiitafute huko ilipo ?
Mfano mtu kasoma halafu mtaani watu wenye husuda wana mfunga asifanikiwe.Msomi hajui chochote masikini .Anaanza kuteseka .Nyota yake inatumiwa.

Hiyo elimu na cheti vitakuwa na faida gani?
 
Msaada wa kwanza mkuu ondoa mawazo unayoishi nayo ya kwamba upo hivyo ulivyo kwa sababu umerogwa, hayo mawazo yana athari sana kuliko unavyoweza kudhani ni sawa na kujiroga mwenyewe. Hapo unakuta uchawi uliyorogwa athari yake ni 30% tu ila 70% unajidhuru mwenyewe kwa mawazo uliyonayo.
 
Nimeshuhudia marafiki zangu wengi ma Genius wakifa Bado vijana! Eti mtu msomi anakufa kwa sababu ya homa , pharmas na hospital dawa hazifany kazi ?

Hao wanao waroga hawana elimu sana.Mfano mmama ameishia darasa la tatu.

Ila kama elimu ya teknolojia ya kishirikina ingefundishwa shuleni hakika wasomi tungeshinda maishani.
 
Ni kweli ukiogopa uchawi utakudhuru zaidi. Mfano mtu akikuroga wewe usiwe na chuki nae tabasamu na ucheke kwa furaha.
 
Mtafute Yesu Kristo, sio mchungaji, mtume wala nabii.
 
Nasisitiza hili
 
Uchawi unao wewe mwenyewe kwa maana unajiroga mwenyewe..ebu niambie kufanya mapenzi umeanza ukiwa na umri gani? Je unatoa fungu la kumi?
 
CHAI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…