Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini tusimlaumu huenda anaishi maisha ya kipekee bila mwingilianoHakika ndugu . Dunia ina Siri nyingi sana
Ni elimu pana sana ila kupata idea google kuhusu Energy healing na Psychic attack.Wazo la elimu ya energy ni jipya kwangu. Je topic hiyo inaitwa je? Kama Kuna somo nipe jina lake!
Hakuna bei unatakiwa kuwa mjinga tu wa kukariri mistari ya kishetani.Duh kumbe? Sasa Bei zao ipoje?
Hahaha Mtu kakwambia ana umwa yuko ndani, tayari hiyo hali aliyonayo haimruhusu kutafuata pesa.Kama una dhamira ya kweli ..tafuta Hela nikupe fundi Mmoja hatari sana...kujua tatizo ni mwanzo wa kulitatua...kabla hujaenda utajua tatizo lako kwa undani na kujua ujipangaje kutokana na maelezo ya fundi...NB ..fundi Yuko same ..vitabu havitakusaidia kitu
Aliyekwambia Mimi ni mtoa msaada nani.??.na nani kakwambia Mimi ndio mtoa tiba..?? Huko kwenu huwa wanatoa tiba bure kwakua tu mtu Hana Hela..??Hahaha Mtu kakwambia ana umwa yuko ndani, tayari hiyo hali aliyonayo haimruhusu kutafuata pesa.
Wewe Ushaona fulsa unataka pesa, kwanini Usijitolee ukamsaidia, akipona sasa mwambie atafute pesa alipie tiba?