Natamani shuleni tungekuwa tunafundishwa teknolojia ya nguvu za giza na kiroho

Natamani shuleni tungekuwa tunafundishwa teknolojia ya nguvu za giza na kiroho

Kama una dhamira ya kweli ..tafuta Hela nikupe fundi Mmoja hatari sana...kujua tatizo ni mwanzo wa kulitatua...kabla hujaenda utajua tatizo lako kwa undani na kujua ujipangaje kutokana na maelezo ya fundi...NB ..fundi Yuko same ..vitabu havitakusaidia kitu
Hahaha Mtu kakwambia ana umwa yuko ndani, tayari hiyo hali aliyonayo haimruhusu kutafuata pesa.

Wewe Ushaona fulsa unataka pesa, kwanini Usijitolee ukamsaidia, akipona sasa mwambie atafute pesa alipie tiba?
 
Aliyekwambia Mimi ni mtoa msaada nani.??.na nani kakwambia Mimi ndio mtoa tiba..?? Huko kwenu huwa wanatoa tiba bure kwakua tu mtu Hana Hela..??
 
Back
Top Bottom