Leo Julai 16, 2025 nilikuwa nasafiri kutoka Mpanda kuelekea Sumbawanga, nikiwa Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda nilienda msalani, jambo la kushangaza na kutisha nimekuta vyoo upande wa Wanaume sio tu vichafu bali vimejaa maji taka hadi juu.
Naziomba mamlaka hususani hasa Mkurugenzi wa Manispaa ya Mpanda kuchukua hatua za haraka maana uchafu una kera sana nah uku ndipo tunapoambukizwa UTI.
Muonekano wa Stendi kwa nje ni mzuri ila ingia ndani sasa balaa
Pia soma:
~ Halmashauri ya Mpanda yafafanua uchafu Vyoo Stendi ya Mizengo Pinda, yasema inafanya ukarabati
~ RC Katavi asema "Mkurugenzi asipotekeleza agizo la usafi Stendi ya Mizengo Pinda nitaona cha kufanya"